Siku ya vyoo imeadhimishwa leo ulimwenguni lakini wakaazi wa ukunda na Diani hawana la kusherehekea kutokana na kuwa miji yao haina vyoo vya umma. Ukosefu wa vyoo umepelekea wananchi kuharibu mazingira na sasa baadhi yao wametishia kuharibu mazingira ya afisi ya Gavana wa Kwale Salim Mvurya ikiwa serikali yake haitajenga vyoo vya umma hasa katika fuo za bahari.
Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
Follow us:
http://citizentv.co.ke
https://twitter.com/citizentvkenya
https://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya
Siku ya vyoo yaadhimishwa | |
| 267 views views | 872,064 followers |
| 2 Likes | 2 Dislikes |
| News & Politics | Upload TimePublished on 19 Nov 2018 |
No comments:
Post a Comment